Shughuli IMEISHA!! Mchezaji Bernard Morrison ameshinda shauri lake dhidi ya Yanga, Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji Elias Mwanjala amesema mkataba wa Yanga unaodaiwa kusainiwa na Morrison ulikuwa na mapungufu.

0 Maoni